Sunday, April 7, 2013

VIWANJA VINAUZWA BAGAMOYO

 
KITOPENI
Idadi – viwanja 19
Matumizi- kwa ajili ya makazi
Hadhi: Vimepimwa na miundo mbinu ya awali kama barabara tayari zimechongwa 
Mahali :Vinapatikana KITOPENI-BAGAMOYO. Ni Kilometer moja kutoka kwenye barabara kuu ya DAR ES SALAAM -- BAGAMOYO
UKUBWA: Kila kiwanja kina square Meter za mraba 1000
Bei   zake  ni 10,000/= Tsh  kwa square meter ya mraba  moja

SANZALE
Idadi – viwanja 14
Matumizi- kwa ajili ya makazi
Hadhi: Vimepimwa na miundo mbinu ya awali kama barabara tayari zimechongwa 
Mahali :Vinapatikana SANZALE- BAGAMOYO. Ni Kilometer moja kutoka kwenye barabara kuu ya BAGAMOYO -- MSATA
UKUBWA:  Vina square Meter za mraba KUANZIA 800- 1000
Bei zake  ni 10,000/= Tsh  kwa square meter moja ya mraba 

Mawasiliano:
Phone; 0654375765
Fax mail; 0736603638
            mtwevegeofrey@gmail.com

2 comments:

Post a Comment